Kuna kila ishara kuwa meli ya Watanashati Entertainment iliyomchukua
Dogo Janja kwa mbwembwe nyingi, inaelekea kuzama na abiria wawili
waliosalia, Dogo Janjaro na PNC wameanza kutafuta maboya haraka
kujihami.
Kwa mujibu wa meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale, Dogo Janja
amekuwa akimpigia simu Madee ili wakae chini waongee kumaliza tofauti
zao na ili arejee Tip Top.
“Unavyomwona
↧