MAUAJI ya wafanyabiashara wakubwa ‘mabilionea’ yameshika kasi nchini
ambapo baada ya tajiri mkubwa Arusha, Erasto Msuya kuuawa kwa risasi
hivi karibuni, Agosti 3, 2013 bilionea Elia Daniel Endeni (49) naye
aliuawa kwa kupigwa risasi nje kwa mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wake
mdogo aitwaye Juliana Labson (28).
Tukio hilo lilijiri siku hiyo saa 2 usiku maeneo ya Temeke Mikoroshini jijini
↧