JENGO la ghorofa 19 lililojengwa karibu na Ikulu ya Dar es Salaam
linadaiwa kuhatarisha maisha ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, UWAZI
limefuatilia kwa umakini.
Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, jengo
hilo ni refu sana na waandishi wetu waliingia humo mpaka ghorofa ya 19
kisha kuona ukaribu uliopo na kubaini kwamba ni hatari kwa usalama wa
ikulu na rais mwenyewe.
Baadhi ya wananchi
↧