TAMKO LA JESHI LA POLISI KUHUSU SHEIKH PONDA ISSA PONDA
1. MNAMO TAREHE 10, AGOSTI ,2013 MAJIRA YA SAA 8 MCHANA, MAENEO YA SHULE YA MSINGI KIWANJA CHA NDEGE MANISPAA YA MOROGORO, KULIFANYIKA KONGAMANO LA BARAZA LA EID LILILOANDALIWA NA UMOJA WA WAHADHILI...
View ArticleVIDEO YA SHEIKH PONDA ALIPOPELEKWA MUHIMBILI PAMOJA NA PICHA ZA MAJERAHA YAKE
VIDEO IKIONYESHA SHEHE PONDA AKIWASILI HOSPITALI<!-- adsense -->
View ArticleAGNESS MASOGANGE AMPONZA AY NA MWANA FA HUKO AFRIKA KUSINI....
Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa. Tukio hilo...
View ArticleFEZA KESSY AONDOLEWA KATIKA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRCA...
Dada yetu aliyekuwa akituwakilisha katika shindano la Big Brother Africa ameondolewa rasmi usiku huu.... Kwa sasa Tanzania hatuna mwakilishi tena ndani ya jumba hilo. Habari...
View ArticleDANGURO LA UCHI LAFUMULIWA BUGURUNI DAR..... GHARAMA YA CHUMBA NI 1200/=...
JUMBA linalodaiwa kutumika kuendesha shughuli za ukahaba limebainika kuwapo katika eneo la Buguruni, jijini Dar es Salaam.Uchunguzi uliofanywa na Tanzania Daima, umebaini kuwapo kwa jumba ambalo...
View ArticleMWANAUME AFIA GESTI AKIFANYA MAPENZI NA MPENZI WAKE JIJINI DAR
MFANYABIASHARA wa sokoni Kariakoo jijini Dar ambaye pia ni mkazi wa Kigogo Flesh, Hamad Kiponda (46), amefia nyumba ya kulala wageni akiwa na mpenzi wake Latifa Saidi (25). Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
View ArticleKUTOMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO NI SAWA NA KOSA LA JINAI AMBALO HUKUMU YAKE...
Ndoa yoyote ambayo mke au mume hafiki kilele hiki cha Mlima Kilimanjaro…,hiyo siyo ndoa inayokwenda sawa na kuna madhara makubwa kwa pande zote, kwa maana ya mwingine kuweza kuamua kutoka. Ni vizuri...
View ArticleSAFARI YA FEZA KESSY ILIFIKIA TAMATI JANA USIKU NDANI YA JUMBA LA BIG...
Hatimaye safari ya Tanzania katika Big Brother ‘The Chase’ imefikia tamati jana (August 11) baada ya mshiriki pekee aliyekuwa amesalia Feza Kessy kutolewa. Feza ambaye amefanikiwa kudumu kwenye mchezo...
View ArticleSHEIKH PONDA AWEKWA CHINI YA ULINZI MKALI WA POLISI.....JUMUIYA YA KIISLAM...
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda yupo chini ya ulinzi huku akitibiwa majeraha katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Sheikh Ponda alisafirishwa usiku wa...
View ArticleMWANAMKE AMUUA MPENZI WAKE KWA KUMCHOMA MOTO AKIMTUHUMU KUWA NI MWIZI HUKO...
Mzozo wa wapenzi wawili usiku, umesababisha mmoja wa kike kupiga mayowe ya kumuita mwenzake mwizi, akavamiwa na watu waliompiga na kumchoma moto hadi kufa. Kisa hicho kimetokea mkazi wa Magazini mjini...
View Article"NIKIFA SIHITAJI KAMATI YOYOTE YA KUENDESHA MSIBA WANGU .....KAMA WALIKULA ZA...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego, ameweka wazi kuwa ikitokea amefariki dunia hatohitaji kamati kwa ajili ya kuendesha mipango ya msiba wake, kwa kile anachodai kuwa kamati hizo...
View Article"JAPO NILITUHUMIWA KUGAWA PENZI GESTI, LAKINI NIMEPIMA NA SINA UKIMWI.......
Baada ya kukabiliwa na skendo ya kugawa uroda kwa msanii Nasry ndani ya Gesti, Rose ndauka ameamua kukimbilia hospitalini ili kuchukua vipimo vya gonjwa hatari la Ukimwi........
View ArticleTCRA YAJIPANGA KUZIFUNGA SIMU ZOTE ZA KICHINA ( SIMU FEKI )
Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA inaandaa utaratibu wa kufunga simu zote ambazo hazina viwango vya ubora stahiki kwa lengo la kuzuia uingizwaji wa bidhaa hizo nchini ambazo zimekuwa zikiuzwa...
View ArticleWALTER CHILAMBO AFUNGUKA BAADA YA NAY WA MITEGO KUMTUHUMU KUWA NI MASIKINI WA...
Baada ya maneno na tuhuma nzito za Ney wa Mitego dhidi ya Mshindi wa Epiq Bongo Star Search mwaka 2012, Walter Chilambo kuwa huenda amedhulumiwa zawadi yake ya ushindi, Shilingi Milioni 50 na...
View Article"VIONGOZI WANAOMTETEA SHEIKH PONDA NI WANAFIKI WAKUBWA.....WAKATI ANAHUBIRI...
Hii ni kauli ya mtoto wa kigogo hapa nchini maarufu kwa jina la William Malecela ambayo ameitoa kupitia blog yake akiuelezea mtazamo wake kuhusu Sakata la Ponda kupigwa...
View ArticleTUMEPOTEZA UKURASA WETU WA FACEBOOK....TUNAWAOMBA WASOMAJI WETU WAJIUNGE UPYA...
Mpendwa msomaji wetu, tunaomba radhi kwa kutukosa katika ukurasa wetu wa facebook ambao uliingiliwa na watu wasio na nia njema. Tumelazimika kufungua ukurasa mpya ili kurahisisha...
View ArticleBAKWATA YATAKA KAMANDA WA POLISI MOROGORO AJIUZULU KUPISHA UCHUNGUZI WA...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limelaani vikali tukio la polisi kumjeruhi Katibu wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislamu, Sheikh Issa Ponda na limetaka kuundwa kwa tume huru kuchunguza tukio hilo...
View ArticleJESHI LA POLISI LATANGAZA DAU LA MILIONI 100 KWA MTU YEYOTE ATAKAYELITAJA...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetangaza dau la Sh100 milioni kwa mtu atakayewezesha kupatikana kwa taarifa za kundi la uhalifu linalojihusisha na vitendo vya kuwamwagia maji baadhi...
View ArticleMAZOEZI MATATU YA KUZUIA MATITI YA MWANAMKE YASILALE NA KUWA MALAPA
<!-- adsense --> Ikiwa wewe umechelewa(ulikuwa hujui hili wakati matiti yako yanaota) basi msaidie mdogo wako au binti yako anaekuwa hivi sasa, ili asije kujisikia vibaya pale wanaume...
View ArticleMAISHA YA RAIS KIKWETE YAKO HATARINI....
JENGO la ghorofa 19 lililojengwa karibu na Ikulu ya Dar es Salaam linadaiwa kuhatarisha maisha ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, UWAZI limefuatilia kwa umakini. Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, jengo...
View Article