MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego, ameweka wazi kuwa
ikitokea amefariki dunia hatohitaji kamati kwa ajili ya kuendesha
mipango ya msiba wake, kwa kile anachodai kuwa kamati hizo zipo kwa
ajili ya kuvuna pesa.Hayo aliweka wazi baada kupokea ujumbe
mfupi kwenye simu yake wenye vitisho uliotokana na mashairi alioimba
kwenye single yake mpya ya 'Salaam zao' .Ujumbe huo wa
↧