Baada ya kukabiliwa na skendo ya kugawa uroda kwa msanii Nasry ndani ya Gesti, Rose ndauka ameamua kukimbilia hospitalini ili kuchukua vipimo vya gonjwa hatari la Ukimwi.....
Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii, Ndauka aliposti picha ya majibu ya vipimo vya UKIMWI vilivyochukuliwa katika hospitali ya TMJ iliyopo jijini Dar es
↧