JUMBA linalodaiwa kutumika kuendesha shughuli za ukahaba limebainika kuwapo katika eneo la Buguruni, jijini Dar es Salaam.Uchunguzi
uliofanywa na Tanzania Daima, umebaini kuwapo kwa jumba ambalo
linatumika kama nyumba ya kulala wageni, ambako idadi kubwa ya makahaba
hujazana na kuendesha biashara ya kuuza miili yao bila
wasiwasi.
Wasichana wanaofanya biashara hizo hutoza kiasi cha sh
↧