MFANYABIASHARA wa sokoni Kariakoo jijini Dar ambaye pia ni mkazi
wa Kigogo Flesh, Hamad Kiponda (46), amefia nyumba ya kulala wageni
akiwa na mpenzi wake Latifa Saidi (25).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alisema tukio hilo
lilitokea juzi saa saba mchana katika nyumba hiyo iitwayo Sansiro
iliyoko Kiwalani kwa Gude.
Alisema kuwa kutokana na tukio hilo, Latifa
↧