Ndoa yoyote ambayo mke au mume hafiki kilele hiki cha Mlima
Kilimanjaro…,hiyo siyo ndoa inayokwenda sawa na kuna madhara makubwa kwa
pande zote, kwa maana ya mwingine kuweza kuamua kutoka.
Ni vizuri walio kwenye ndoa kujifunza namna ya
kupeana raha iwapasayo wanandoa kuipata. Kama unafikiri mkeo unaye kwa
sababu amekuja kutafuta kula au kununuliwa
↧