Hatimaye safari ya Tanzania katika Big Brother ‘The Chase’ imefikia
tamati jana (August 11) baada ya mshiriki pekee aliyekuwa amesalia Feza
Kessy kutolewa.
Feza ambaye amefanikiwa kudumu kwenye mchezo kwa siku 77 amekuwa
mshiriki wa 20 kuliaga shindano hilo huku Cleo na Dillish waliokuwa
dangerzone wakibaki salama.
Feza aliyekuwa ameshikilia bendera ya Tanzania wakati wa eviction
↧