Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda
Issa Ponda yupo chini ya ulinzi huku akitibiwa majeraha katika Hospitali
ya Taifa ya Muhimbili.
Sheikh Ponda alisafirishwa usiku wa manane kutoka
Morogoro baada ya juzi kupigwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni mtutu wa
bomu saa 12:25 jioni alipokuwa akisindikizwa na wafuasi wake kwenda
katika Msikiti wa Mungu Mmoja Dini Moja
↧