Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetangaza dau
la Sh100 milioni kwa mtu atakayewezesha kupatikana kwa taarifa za kundi
la uhalifu linalojihusisha na vitendo vya kuwamwagia maji baadhi ya
watu yanayodhaniwa ni tindikali.
Hatua hiyo inatokana na vitendo hivyo kushamiri maeneo mbalimbali nchini.
Kamanda wa Polisi Kanda hiyo, Suleiman
↧