"MAPAJA YANGU NDO KILA KITU" DIVA WA CLOUD FM
Loveness Diva sasa kaamua kuyapromote mapaja yake baada ya kuchoka kumpaisha mpenzi wake..... Kupitia account yake ya instagram, jana Diva alitupia picha ya paja lake na kuwaacha...
View Article"ZIWA NYASA LOTE NI MALAWI, TANZANIA HAINA HATA PUNJE YA ENEO".... MGOMBE...
Mgombea Urais wa Democratic Progressive Party (DPP) nchini Malawi, Peter Mutharika, amesema hakuna sababu za kufanya majadiliano kuhusu Ziwa Malawi ambalo Tanzania wanaliita Ziwa Nyasa. Mutharika,...
View ArticleSHEHA ALIYEKUTWA NA BANGI ATIMULIWA KAZINI HUKO UNGUJA
SERIKALI katika mkoa wa Kusini Unguja, imemtimua kazi Sheha wa Kitumba, Mtwana Kificho, ambaye wiki iliyopita nyumbani kwake alikutwa na majani makavu yanayosadikiwa kuwa bangi baada ya polisi kufanya...
View ArticleRAY C AENDELEA KUSIMULIA JINSI ALIVYOSHAWISHIWA KUVUTA BANGI NA MADAWA...
Kipande cha mwisho cha kipindi cha The Interview cha Clouds TV ambapo kilihusisha mahojiano na mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C kilirushwa jana usiku. Katika sehemu hiyo Ray C alizungumzia jinsi...
View ArticleWAUMINI WA KIISLAMU WACHOMANA VISU JIJINI MBEYA ...SHEIKH AUMIZWA VIBAYA...
WAUMINI wa dini ya Kiislamu waliokuwa katika ibada ya Swala ya Idd El Fitri katika msikiti mkuu wa Ijumaa uliopo Wilayani Kyela mkoani Mbeya wamekumbwa na taharuki baada ya Shekhe wao aliyekuwa...
View Article"NAPE NA CCM NI AMA AIUE AU IMUUE"...HII NI KAULI YA GAZETI LA MAWIO...
Video mbili zimepachikwa hapo chini baada ya hoja ifuatayo ya Ben Saanane — Nape Nnauye anadhalilisha vijana wenzake na Wazee, Madaraka aliyopewa ni makubwa kwake Nimesikitishwa sana na kauli...
View ArticleJESHI LA POLISI LATANGAZA DAU LA MILIONI 10 KWA MTU YEYOTE ATAKAYEWATAJA WATU...
Zanzibar, Tanzania — Kamanda wa Polisi, Kamishna Musa Ali Musa amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kutoa Shilingi milioni 10/= kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazofanikisha...
View ArticleVIDEO YA MSANII LADY GAGA AKITAMBIKA HUKU AKIWA UCHI YAVUJA
<!-- adsense --> Katika hali isiyo ya kawaida, video ya msanii Lady Gaga akitambika uchi wa mnyama yanaswa.... Katika video hiyo, msanii huyo anaoneka akiondoa mikosi yake...
View ArticleWASICHANA WALIOMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR WAMERUDISHWA UINGEREZA....VYOMBO...
Mama mwenye hasira wa mmoja wa wasichana wa Uingereza waliomwagiwa acid mjini Zanzibar ameungana na bintiye nchini humo baada ya jana kuwasili kwa ndege kwenye hospitali kwaajili ya matibabu. Katie...
View ArticleMTAMBO WA DAWA ZA KULEVYA WAINGIZWA NCHINI.....
Wakati matukio ya baadhi ya vigogo na wasanii maarufu wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulenya hayajapoa, imebainika kuwa mtambo maalumu wa kuchanganya na kuziongezea thamani dawa...
View ArticleVIDEO YA MFANYABIASHARA AKIMLAWITI MFANYAKAZI WAKE WA DUKANI HUKO MOSHI...
Mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi, (jina linahifadhiwa) ameingia katika kashfa nzito baada ya kurekodi mkanda wa video ukimwonyesha akimlawiti mfanyakazi wake wa dukani. Kifungu namba 154 cha...
View ArticleRWANDA YAMJIBU RAIS KIKWETE.....YADAI IKO TAYARI KUWAPOKEA WANYARWANDA...
Serikali ya Rwanda imetoa tamko linaloonyesha kutoielewa kauli ya Rais Jakaya Kikwete, iliyoamuru wahamiaji haramu kuondoka nchini, hali inayoonekana kukwepesha hoja. Rwanda kupitia waziri wake wa...
View ArticleBABA AMLAWITI MTOTO WAKE WA KIUME NA KUMBAKA SHEMEJI YAKE JIJINI DAR
Binti aliyebakwa akiwa na mtoto aliyelawitiwa. MWANAUME aliyefahamika kwa jina moja la Mohammed, mkazi wa Kigamboni jijini Dar amedaiwa kuwafanyia unyama watoto wawili, akimlawiti mwanaye wa kufikia na...
View ArticleMTOTO AZALIWA NA UVIMBE WA MKIA KICHWANI MKOANI MARA....MSAADA WAHITAJIKA...
MTOTO mchanga wa kike wa eneo la Sabasaba wilayani Tarime Mkoa wa Mara, Maria Samwel anatakiwa kuhamishiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando ya jijini Mwanza kwa ajili kuondolewa uvimbe wa ajabu...
View ArticleKIJANA ATIWA MBARONI KWA KUFANYA MAPENZI NA NG'OMBE HUKO KILIMANJARO........
JESHI la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia kijana mwenye umri wa miaka 15 mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Kelamfua iliyopo wilayani Rombo baada ya kukutwa akimwingilia...
View ArticleSHEIK PONDA ADAIWA KUPIGWA RISASI NA POLISI MKOANI MOROGORO LEO JIONI.
Taarifa toka Morogoro zinaarifu kwamba Sheikh Ponda amepigwa risasi na polisi baada ya wafuasi wake kuandamana..... Taarifa hizo zinaeleza kwamba Sheikh Ponda alikuwa akiendesha...
View ArticleKISA CHA SHEIK PONDA KUPIGWA RISASI MKOANI MOROGORO CHABAINIKA......
KATIBU wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda, alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuumizwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi kwenye bega lake la kulia wakati akiekelea katika...
View ArticleNAY WA MITEGO ATEMANA NA DEMU WAKE.....
JANA Nay wa Mitego alikuwa akiandika ujumbe wenye mafumbo kwenye Instagram na baada ya kuusoma ndani ya mistari ilibainika kuwa huenda mambo si mazuri kati yake na mpenzi wake ambaye hivi karibuni...
View Article"WASANII WENGI WA BONGO MOVIE NI OMBA OMBA...ACCOUNT ZAO HAZINA KITU"... BATULI
Batulli ambaye ni mmoja wa waigizaji wa kike warembo nchini na ambaye jina lake halisi ni Yobnesh Yussuph aka Nesh, amefunguka kwenye Twitter kuwa licha ya soko la movie kupanuka, waigizaji wengi...
View ArticlePICHA 3 ZA SHEIKH PONDA AKIWA HOSPITALINI BAADA YA KUPIGWA RISASI BEGANI
SHEIKH PONDA ISSA PONDA Sheikh Ponda leo akiwa HOSPITALINI akisubiri matibabu baada ya kupigwa Risasi huko Morogoro<!-- adsense -->
View Article