Mgombea Urais wa Democratic Progressive Party (DPP) nchini
Malawi, Peter Mutharika, amesema hakuna sababu za kufanya majadiliano
kuhusu Ziwa Malawi ambalo Tanzania wanaliita Ziwa Nyasa.
Mutharika, ambaye ni mwanasheria, aliyasema hayo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika juzi Mkoa wa Kati.
Akikaririwa na gazeti la
↧