Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

JESHI LA POLISI LATANGAZA DAU LA MILIONI 10 KWA MTU YEYOTE ATAKAYEWATAJA WATU WALIOWAMWAGIA TINDIKALI WAZUNGU WAWILI

$
0
0
  Zanzibar, Tanzania — Kamanda wa Polisi, Kamishna Musa Ali Musa amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kutoa Shilingi milioni 10/= kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazofanikisha kukamatwa kwa watu waliowashambulia mabinti wawili kutoka Londona, Uingereza,  Kirstie Trup na Katie Gee.Mabinti hao walishambuliwa kwa tindikali usoni, kifuani na mikononi siku ya Jumatano

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles