Video mbili zimepachikwa hapo chini baada ya hoja ifuatayo ya Ben Saanane — Nape Nnauye anadhalilisha vijana wenzake na Wazee, Madaraka aliyopewa ni makubwa kwake
Nimesikitishwa sana na kauli iliyonukuliwa kutolewa na Nape Nnauye(Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM).Gazeti la MAWIO la tarehe 8/8/2013 toleo namba 055 ukurasa wa 5 lililikua na kichwa cha habari NAPE NA CCM ‘Ni ama Aiue Ama
↧