WAUMINI wa dini
ya Kiislamu waliokuwa katika ibada ya Swala ya Idd El Fitri katika
msikiti mkuu wa Ijumaa uliopo Wilayani Kyela mkoani Mbeya wamekumbwa na
taharuki baada ya Shekhe wao aliyekuwa akiongoza ibada kuvamiwa kibla
wakati akiendesha ibada na kujeruhiwa.Tukio hilo la aina yake
limetokea majira ya asubuhi ambapo Shekhe huyo aliyetambuliwa kwa jina
la Nuhu Mwafilango alishambuliwa
↧