Kipande cha mwisho cha kipindi cha The Interview cha Clouds TV ambapo
kilihusisha mahojiano na mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C
kilirushwa jana usiku.
Katika sehemu hiyo Ray C alizungumzia jinsi ilivyokuwa ngumu kwake
kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya, wasanii wengi walivyoingia
kwenye janga hilo na jinsi Tanzania ilivyoathirika na madawa hayo.
“Hali ni mbaya, wasanii
↧
RAY C AENDELEA KUSIMULIA JINSI ALIVYOSHAWISHIWA KUVUTA BANGI NA MADAWA MENGINE ( SEHEMU YA MWISHO)
↧