Batulli ambaye ni mmoja wa waigizaji wa kike warembo nchini na ambaye jina
lake halisi ni Yobnesh Yussuph aka Nesh, amefunguka kwenye Twitter kuwa
licha ya soko la movie kupanuka, waigizaji wengi hawana kitu.
“Wasanii wengi wa filamu huwa tunaamka asubuhi hata hatujui tutakula
nini. Accounts zetu hazina kitu wakati tuna film nyingi sana sokoni,”
ametweet.
“Wenzetu huamka na
↧