JANA
Nay wa Mitego alikuwa akiandika ujumbe wenye mafumbo kwenye Instagram
na baada ya kuusoma ndani ya mistari ilibainika kuwa
huenda mambo si mazuri kati yake na mpenzi wake ambaye hivi karibuni
alikuwa akitarajia kumzalia mtoto lakini mimba ikaharibika.
Nay ambaye jina lake halisi ni Emmanuel Munisi, jana alianza kwa kuandika
ujumbe huu: Sasa mapenzi basi# by diamond
↧