UPDATE: UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA WAWAKA MOTO ASUBUHI HII
Moto mkubwa unaripotiwa kuzuka asubuhi hii katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyetta (JKIA) jijini Nairobi. Chanzo cha moto huo bado hakijatambulika na juhudi za kuuzima zinaendelea, ambapo...
View ArticleBAADA YA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA KUWAKA MOTO, ABIRIA WAMEPELEKWA...
Habari zinasema kwamba baada ya saa tatu za ku pambana na janga hilo, hatimaye moto huo umeweza kudhibitiwa na hakuna mtu aliyeripotiwa kudhurika. Abiria waliokuwa wanasafiri wamepelekwa mahotelini...
View ArticleSKENDO YA KUMPIGA RIHANNA YAMKERA CHRISS BROWN...ANADAI KACHOKA KUANDIKWA...
Chris Brown anafikiria kuachana kabisa na muziki siku za usoni na amesema huenda X ikawa albam yake ya mwisho. Breezy ametumia akaunti yake ya Twitter kuelezea kuchoshwa na kuandikwa vibaya kila...
View ArticleVIDEO YA TUKIO ZIMA LA MLIPUKO WA MOTO KATIKA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA
Hii ni video ya tukio zima la mlipuko wa moto uliotokea leo asubuhi katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta<!-- adsense -->
View ArticleWAZAZI WAKATAZA WALIMU WASIWAFUNDISHE WATOTO WAO JINSI YA KUTUMIA CONDOM
Imeelezwa kuwa Baadhi ya wazazi na walezi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamekuwa wakiwazuia walimu kutoa elimu ya njia ya kujikinga na ukimwi kwa watoto wao wa sule za msingi ikiwemo matumizi...
View ArticleSHOGA APOTEZA MAISHA BAADA YA KUFANYA MAPENZI NA WANAUME WATATU KWA AHADI YA...
Hii ni picha ya shoga toka Nigeria ambaye anadaiwa kupoteza maisha ndani ya gesti baada ya kufanya mapenzi na wanaume watatu kwa ahadi ya dau nono..... Taarifa zinadai kwamba...
View ArticleSABABU MBILI ZILIZOMFANYA MADAM RITA AIHAMISHIE BONGO STAR SEARCH TBC1
Epiq Bongo Star Search ya mwaka 2013 haitaoneshwa tena kupitia ITV. Mwaka huu shindano hilo la kusaka vipaji vya kuimba litakuwa likioneshwa kupitia TBC1. Kupitia Facebook, Rita Paulsen aka Madam...
View ArticleSAKATA LA MFANYABIASHARA WA MADINI ALIYEPIGWA RISASI 6 JIJINI ARUSHA LEO MCHANA
Habari zilizopatikana majira ya saa kumi kasoro robo alasiri ya leo zinafahamisha kuwa, Mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha na mmiliki wa hoteli amepigwa risasi na watu wasiojulikana...
View ArticleAIBU: MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AUMBUKA BAADA YA KUTUPIA PICHA YAKE YA UCHI...
<!-- adsense --> Mwanafunzi wa chuo kimoja hapa nchini ameambulia aibu ya mwaka baada ya picha zake chafu kuvuja katika mtandao wa facebook wakati "akichati" na darling...
View ArticleDUDU BAYA ATIWA MBARONI KWA KOSA LA KUCHOMA MOTO NYUMBA YA MSANII MWENZAKE
MSANII wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’ ameswekwa rumande kwa kudaiwa kuchoma nyumba ya baba wa msanii mwenzake ‘Geez Mabovu’, Mashaka Mrisho. Tukio hilo lilitokea Agosti 1, mwaka huu ambapo...
View ArticleMCHUMBA WA MTU ATUPWA SEGEREA BAADA YA KUNASWA AKIJUZA JIJINI DAR
Siku za mwizi ni 40.... Kauli hiyo ya wahenga ilitimia Jumatatu iliyopita kufuatia msichana Pili Baraka (21) aliyevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake hivi karibuni kujikuta akitupwa Gereza la...
View ArticleMTOTO MCHANGA AZALIWA NA JINSIA MBILI HUKO RUVUMA..... HANA MACHO WALA PUA
Mganga mfawidhi wa Hospitali ta Wilaya ya Tunduru Dkt. Joseph Ng'ombo akimuangalia mtoto huyo aliyezaliwa akiwa hana macho, pua na Shavu linalo shika mdomo wa juu, kushoto ni mkunga wa zamu katika...
View ArticleRAY C ASIMULIA KILICHOMFANYA AANZE KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA........LAWAMA...
Muimbaji wa ‘Niwe Nawe Milele’ Rehema Chalamila aka Ray C jana alifanya interview ya kwanza ya TV tangu takriban miezi 10 iliyopita baada ya kujichimbia kupata matibabu ya madhara aliyokuwa amepata...
View Article"SIJAWAHI ONA MWANAUME MZURI KAMA PREZZO HAPA DUNIANI "...DIVA WA CLOUDS FM
Kwa mara nyingine tena, mtangazaji wa Clouds fm maarufu wa jina la DIVA amejitosa Istagram na kuanza kuisifia suruali yake ( Prezzo) huku akiwaponda wanaume wa kibongo na wale...
View ArticleMIHADHARA YA SHEIKH PONDA YAPIGWA MARUFUKU KATIKA ARDHI YA ZANZIBAR
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imempiga marufuku Katibu wa Jumuiya ya taasisi ya Kiislamu shekhe Issa Ponda Issa kuendesha mihadhara ya kidini katika ardhi ya Zanzibar yenye muelekeo wa kuleta...
View ArticleUKUBWA WA UUME SI KIGEZO CHA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO..... CHA MSINGI NI KUWA...
-Imeandikwa na Dinah. Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima....lakini wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni wakubwa, wakidhani ni moja ya sifa au hitaji la muhimu...
View ArticleAFYA YA MSANII MATUMANI IMEIMARIKA KIDOGO NA AMEREJEA TENA KATIKA FANI YAKE...
BAADA ya kutoka nchini Msumbiji akiwa hoi, msanii wa vichekesho Bongo, Tumaini Mwakibibi ‘Matumaini’ hatimaye amepata nguvu na ameanza kujikongoja katika kazi ya uigizaji. Akiongea na mwandishi...
View ArticleVIGOGO WALIOMTUMA AGNESS MASOGANGE WABANWA....MMOJA AFUNGIWA ACCOUNT ZAKE
HABARI zilizochimbuliwa kwa undani zinadai kuwa tayari vigogo wawili waishio nchini wamebanwa na Jeshi la Polisi Tanzania wakituhumiwa kumtuma Masogange kupeleka madawa ya kulevya nchini Afrika Kusini....
View ArticleMHADHIRI UDSM AUAWA KIKATILI, WAZUNGU WAWILI WAMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR
Mauaji, mashambulizi ya kudhuru mwili na uporaji vimeendelea kuchafua taswira ya Tanzania baada ya juzi, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kuuawa kwa kupigwa risasi na watu ambao...
View ArticleYAMEBAKI MASAA 24 TU KWA WAHAMIAJI HARAMU KUONDOKA NCHINI KWA HIARI YAO...
Zikiwa zimesalia saa 24 kabla ya kumalizika kwa muda uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa wahamiaji haramu kuondoka nchini au kuhalalisha ukaazi wao na wenye silaha kuzisalimisha, makundi ya...
View Article