"NINA JINSIA MBILI, NATAFUTA MPENZI WA JINSIA YOYOTE"...OMBI LA MDAU WETU
Dunia ina mengi....Dawa ya tatizo ni kukubaliana nalo. Huyu ni jamaa mwenye jinsia mbili na kwa mujibu wa maelezo yake anadai kuwa jinsia zote mbili ziko poa (Active).....
View Article" NILIKURUPUKA KUOLEWA MAPEMA" JACK PATRICK
MWANAMITINDO marufu Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ amesema alikurupuka kuolewa na aliyekuwa mume wake, Abdulatif Fundikira ‘Tiff’ kwa kuwa hakufanya tathmini ya kina kabla ya kufanya maamuzi....
View ArticleROBERT MUGABE NDANI YA IKULU YA ZIMBABWE KWA MARA YA SABA....
Baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa kinyan’ganyiro cha Urais wa Zimbabwe, Rais Robert Mugabe (89), amefikisha mihula saba ndani ya Ikulu ya nchi hiyo. Mugabe juzi alishinda tena kiti cha urais. Matokeo...
View ArticleFEZA KESSY AENDELEA KUPETA NDANI YA BIG BROTHER.....MPENZI WAKE ATOLEWA
Hatimaye jina la Oneza limefikia tamati jana baada ya Afrika kuamua kumuondoa shemeji yetu Oneal aliyepata kura ndogo zaidi katika The Chase. Pamoja na matumaini madogo sana aliyokuwanayo Feza ya...
View ArticleMUME AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI BAADA YA KUMNYONGA MKEWE
MWANAMUME mmoja amemnyonga hadi kufa mke wake na yeye akauawa na wananchi wenye hasira, katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Tukio hilo lililothibitishwa na polisi wilayani hapa, lilitokea usiku wa...
View ArticleMKE WA MTU ANUSURIKA KUUAWA BAADA YA KUNASWA AKIIBA NGUO KARIAKOO
Jimama mwenye hadhi yake ambaye ni mke wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Mary au Mama Gilo, mkazi wa Sinza jijini Dar amekula kichapo cha kutisha almanusra apoteze uhai baada ya kunaswa akiiba nguo...
View ArticleRIPOTI YA MAUAJI YA ARUSHA YAVUJA....
HATIMAYE ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kuhusu vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyotokea Arusha Januari 5, 2011 kwenye maandamano ya CHADEMA imevuja.Licha ya...
View ArticleMSIMAMO WA RAIS KIKWETE KWA RAIS KAGAME WA RWANDA WAUNGWA MKONO KWA ASILIMIA...
WASOMI na baadhi ya wanasiasa wazalendo nchini wameunga mkono msimamo wa Tanzania uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete kuhusiana na chokochoko zinazoanzishwa na Rwanda na wamemtaka Rais wa nchi...
View ArticleJAJI FRANCIS MUTUNGI ATEULIWA KUWA MSAJILI MPYA WA VYAMA VYA SIASA...TENDWA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mheshimiwa Jaji Francis S.K. Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa. Taarifa iliyotolewa Dar Es Salaam leo, Jumatatu,...
View ArticleMTOTO WA MIAKA MITATU ALAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA BABA YAKE....
<!-- adsense --> Video ya mtoto mchanga akifundishwa mapenzi na baba yake yanaswa. Katika video hiyo, mtoto huyo anaonekana akiingiliwa kimwili na baba yake, huku akilizimishwa kumnyonya...
View ArticleVIDEO YA TUKIO LA JAMBAZI LILIVYONUSURIKA KUUAWA JIJINI DAR
KIJANA mmoja ambaye hajafahamika jina lake anayedaiwa kuwa ni jambazi amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali eneo la Mbezi kwa Msuguli jijini Dar es Salaam. Kijana huyo pamoja na mwenzake...
View ArticleMWANAUME APOTEZA UUME WAKE KWA SIKU TATU JIJINI DAR....( VIDEO)
MWANAUME mmoja aliyejulikana kwa jina la Elias Peter (28) mkazi wa Mwananyamala Msisiri, Dar hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu baada ya uume wake kutoweka kwa siku tatu na kurudi ambao hauna...
View ArticleMTANZANIA MWINGINE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA THAILAND...
SIKU chache baada ya serikali za Tanzania na Thailand kutiliana saini mkataba wa kubadilishana wafungwa na kutekeleza sheria ya vifungo, raia wa Tanzania amebambwa na dawa za kulevya nchini humo....
View Article"TUTAHAKIKISHA KAGAME HAPONI , NI LAZIMA TUMMALIZE KABLA HAJATOROKA"..... HII...
Chokochoko zinazoendelezwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame (pichani) dhidi ya Rais Jakaya Kikwete zimewakasirisha baadhi ya wananchi wakiwemo askari wa Tanzania na wakadai kuwa kiongozi huyo wa Rwanda...
View ArticleTACAIDS YATOA TAKWIMU ZA UKIMWI...MKOA WA NJOMBE UNAONGOZA UKIFUATIWA NA IRINGA
TUME ya Kudhibiti UKIMWI nchini (TACAIDS) imesema mkoa wa Njombe unaongoza kwa kuwa na maambukizi makubwa ya Virusi vya UKIMWI kwa asilimia 14.8 ikifuatiwa na Iringa kwa asilimia 9.1.Mkoa wa Mbeya...
View ArticleWANANCHI WAPEWA KICHAPO KIKALI NA MGAMBO BAADA YA KUMUUA PUNDA NA KUMTUPA...
Wakicharazwa viboko na mgambo baada ya kukamatwa. Fimbo hizo ni silaha walizokuwa wakizitumia kukaidi sheria bila shuruti na kujeruhi kila aliyewakaribia huko Chilulumo wilaya ya Momba mkoani Mbeya....
View ArticlePICHA ZA NUSU UCHI ZA RIHANNA KATIKA TAMASHA LA CROP OVER 2013
Taswira juu na chini zinamuonesha Mwanamuziki Robyn Rihanna Fenty 'Rihanna' akijiachia na ndugu, jamaa na marafiki katika tamasha la kila mwaka la 'Crop Over Carnival' lililofanyika nyumbani kwao...
View ArticleHASARA NA FAIDA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA KUPIGA PUNYETO
<!-- adsense --> Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa...
View ArticleSELLY AMUOMBA MSAMAHA MPENZI WAKE KWA KUFANYA MAPENZI NA NANDO NDANI YA BIG...
Hatimaye mshiriki wa Ghana katika reality show ya Big Brother ‘The Chase’ Selorm Galley maarufu kama Selly aliyetoka wiki moja iliyopita, amemuomba msamaha boy friend wake (wa Ghana) kwa yale...
View ArticleMKENYA WA DR. ULIMBOKA AFUTIWA KESI YAKE
MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, amefuta kesi ya kuteka na kujaribu kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, iliyokuwa ikimkabili raia wa Kenya,...
View Article