MWANAMITINDO marufu Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ amesema alikurupuka
kuolewa na aliyekuwa mume wake, Abdulatif Fundikira ‘Tiff’ kwa kuwa
hakufanya tathmini ya kina kabla ya kufanya maamuzi.
Akizungumza na mwandishi wetu, Jack alisema laiti angekaa kwenye uchumba
kwa angalau muda wa miaka miwili kuchunguzana kabla ya kuoana mwaka
2011, asingeweza kufikia hatua ya ndoa kwani
↧