$ 0 0 Taswira juu na chini zinamuonesha Mwanamuziki Robyn Rihanna Fenty 'Rihanna' akijiachia na ndugu, jamaa na marafiki katika tamasha la kila mwaka la 'Crop Over Carnival' lililofanyika nyumbani kwao Barbados. <!-- adsense -->