Hatimaye jina la Oneza limefikia tamati jana baada ya Afrika kuamua
kumuondoa shemeji yetu Oneal aliyepata kura ndogo zaidi katika The
Chase.
Pamoja na matumaini madogo sana aliyokuwanayo Feza ya kupona panga la
eviction ya jana (August 4) lakini Afrika imeamua kummbakiza Feza
mshiriki pekee wa Afrika mashariki na Tanzania aliyebaki.
Feza Kessy
amepona katika eviction ya jana kwa
↧