MWANAMUME mmoja amemnyonga hadi kufa mke wake na yeye akauawa na
wananchi wenye hasira, katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Tukio hilo
lililothibitishwa na polisi wilayani hapa, lilitokea usiku wa kuamkia
juzi katika Kijiji cha Kisangwa Kata ya Mcharo, kwenye sherehe ya
ufunguzi wa nyumba ya ndugu yao.Ofisa Mtendaji wa Kata ya
Mcharo, Waziri Kingi, alimtaja mwanamke aliyeuawa kwa
↧