Jimama
mwenye hadhi yake ambaye ni mke wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Mary
au Mama Gilo, mkazi wa Sinza jijini Dar amekula kichapo cha kutisha
almanusra apoteze uhai baada ya kunaswa akiiba nguo kwa ajili ya Sikukuu
ya Eid El Fitr.
Tukio hilo la
aibu lililoshuhudiwa na mwandishi wetu lilijiri katika moja ya maduka
makubwa ya nguo Kariakoo, Dar mwishoni mwa wiki iliyopita.
↧