HATIMAYE ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kuhusu
vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyotokea Arusha
Januari 5, 2011 kwenye maandamano ya CHADEMA imevuja.Licha ya
ripoti hiyo kufichwa kwa kutosomwa hadharani kwenye vyombo vya habari
kutokana na kulishutumu moja kwa moja Jeshi la Polisi, Tanzania Daima
imefanikiwa kuinasa.Maandamano hayo ya CHADEMA ya
↧