MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP), Dk. Eliezer Feleshi,
amefuta kesi ya kuteka na kujaribu kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, iliyokuwa ikimkabili raia wa
Kenya, Joshua Mulundi, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es
Salaam.
Hatua hiyo imeelezwa kuwa ni baada ya DPP kuona hana haja ya kuendelea
kumshitaki kwa makosa hayo ambayo yalikuwa
↧