Hatimaye mshiriki wa Ghana katika reality show ya Big Brother ‘The
Chase’ Selorm Galley maarufu kama Selly aliyetoka wiki moja iliyopita,
amemuomba msamaha boy friend wake (wa Ghana) kwa yale aliyoyafanya
mbele ya Camera za nyumba ya Big Brother.
Kupitia kipindi cha live ‘Celebrity Show’ cha ETV ya Ghana Selly
ambaye pia ni muigizaji alianza kwa kumshukuru mpenzi wake Praye Tietia
↧