Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"NIPO TAYARI KUJIUZULU ENDAPO ITABAINIKA NAUZA MADAWA YA KULEVYA'.....MBUNGE...

MBUNGE wa Kinondoni (CCM), Idd Azzan, amesema yupo tayari kujiuzulu ubunge, ikiwa itabainika anajihusisha biashara ya dawa za kulevya. Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya kutajwa katika moja ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAHABA APEWA KICHAPO NA MALAYA WENZAKE KWA KOSA LA KUJIUZA KWA BEI YA HASARA...

  KAHABA  mmoja katika mji wa Naivasha, jimbo  la  Rift Valley  nchini Kenya amenusurika kufa baada ya kupewa kichapo kikali  na makahaba wenzake  wakimtuhumu   kujiuza  kwa  bei  ndogo  na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA CCM ANAYEDAIWA KUFADHILI MADAWA YA KULEVYA AJISALIMISHA POLISI

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM, Iddi Azzan, aliyetajwa kwenye barua inayosadikiwa kuandikwa na wafungwa Wakitanzania waliopo Hong Kong “amejilisalimisha” kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"WAPIGWE TU" YA MIZENGO PINDA ITAMFIKISHA KORTINI

KAULI ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ya kubariki vyombo vya dola kuendeleza kipigo kwa raia wanaokaidi amri imechukua sura mpya baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Bindamu (LHRC) kutangaza kumburuza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA HAINA UBAVU WA KUMKATAA TENDWA

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hakina ubavu wa kumkataa au kutomtambua John Tendwa kuwa ndiye msajili wa vyama vya siasa nchini. Kauli hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANISA KATOLIKI PAROKIA YA URU LAKUMBWA NA MAMBO YA KISHIRIKINA ( UCHAWI )

HOFU kubwa imetawala Kanisa Katoliki Parokia ya Uru iliyopo Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, kutokana na matukio kadhaa yanayoendelea kutokea katika kanisa hilo huku baadhi ya watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: MAMA AJICHOMA MOTO PAMOJA NA WATOTO WAKE KISA KIKIWA NI MAPENZI

  Mama wa Kasarani ajiteketeza na wanawe juu ya mapenzi <!-- adsense -->

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA LADY JAYDEE YAPIGWA KALENDA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, leo imeiaharisha kesi inayomkabili msanii wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' a.k.a Annaconda dhidi ya uongozi wa Clouds Media Group hadi Agosti 2,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA UCHI ZANASWA KATIKA UKUMBI WA KANISA JIJINI DAR

Kiongozi wa Kanisa la Greek Orthodox duniani, Papa Theodor’s II ameamuru kufungwa kwa ukumbi uliopo ndani ya eneo la kanisa hilo lililopo Kiwanja Namba 7509 katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA MIKOPO YAKANUSHA UVUMI KUWA WALIOOMBA MKOPO WA ELIMU WANAPASWA...

Kumekuwa na uvumi kwamba mtandao wa uombaji mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (OLAS) ulikuwa na hitilafu ya kiufundi na hivyo Wanafunzi wanaondelea na masomo ambao walikuwa tayari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"SINA MPANGO WA KUAJIRIWA NA KU******M YOYOTE....CLOUDS ACHENI KUNIFUATILIA"....

Mwisho Mwampamba amegeuka  mbogo  na  kufurumua  matusi  ya  nguoni  kwa  Clous Fm  baada  ya  kituo  hicho  kuanza  kumjadili  na  kumchambua... Mwampamba, ambaye  ni  staa  namba  mbili  wa  shindano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"CHADEMA WANATAFUTA UMAARUFU KUPITIA JINA LANGU"...MWIGULU NCHEMBA

Kumekuwepo na jitihada za makusudi za chadema, baadhi ya magazeti yanayofanya kazi ya uenezi ya chadema na wafuasi wa chadema kufanya kila njama kunichafulia jina kwa sababu na manufaa yao wayajuayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHIRIKI WENGINE WA BIG BROTHER WANASWA WAKINGONOKA KAMA MBWA

<!-- adsense -->   Video  nyingine  ya  washiriki  wa  big  brother  imenaswa  live  wakingonoka  kama  mbwa.... Katika  video  hiyo, Angelo na Beverly wanaoneka   wakitenda aibu  hiyo  wakiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBINU ZA KUKABILIANA NA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, KUPIZI HARAKA,...

<!-- adsense --> Tunapozungumzia upungufu wa nguvu za kiume tunakuwa katika uwanja mpana zaidi wa tafakari za kibaiolojia na kisaikolojia walizonazo wanaume.  Lakini kwa kufupisha mlolongo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAHAMA YAANZA MIKAKATI YA KUWAOKOA MAKAHABA KWA KUWAWEZESHA KIUCHUMI

Zaidi ya wanawake tisini wanaofanya biashara ya ngono wilayani Kahama mkoani Shinyanga wanatarajia kunufaika na mradi mpya wa kuwakomboa kutoka kwenye biashara hiyo, unaoratibiwa na HUHESO Foundation...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAPENZI WAJIRUSHA MBELE YA TRENI NA KUFARIKI DUNIA BAADA YA MAMA WA BINTI...

Binti mdogo mwenye miaka 21 na mpenzi wake mwenye miaka 25, wameamua kukatisha maisha yao na kuacha note yenye maneno“Two great people are going to paradise”. Kisa chote hiki kinatokana na mama wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"TUMECHOKA KUONGOZWA NA MAKAFIRI, LIPIZENI KISASI NA MTAPATA UHAI...

  SERIKALI imenasa kanda za video zinazomuonyesha Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda, akitoa mahubiri yanayowahamasisha waumini wa dini ya Kiislamu kuanzisha uasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAHABA WAENDELEA KUKICHAFUA CHUO KIKUU CHA DODOMA

<!-- adsense --> Ongezeko  la  makahaba  mjini  Dodoma  limeendelea  kuwa  kero  kwa  chuo  kikuu  cha Dodoma  na  wanafunzi  wake  kwa  ujumla.... Kero  hiyo  imekuwa  ikisababishwa  na  baadhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANYARWANDA WAANZA KUREJEA MAKWAO BAADA YA RAIS KIKWETE KUWAPA SIKU 14 ZA...

Mamia ya wahamiaji haramu kutoka nchini Rwanda wakiwa na ng’ombe zaidi 900 wameanza kuondoka nchini kurejea kwao kutokana na agizo la Rais Jakaya Kikwete kuwataka waondoke Tanzania kabla ya siku 14....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU YA CHADEMA: DR. SLAA AWAUNGA MKONO WAASI WA KONGO NA KUMKINGIA KIFUA...

Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, amemkosoa Rais Jakaya Kikwete, kuhusu kauli  yake ya  kumshauri Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuzungumza na waasi wa serikali...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>