MTANZANIA MWINGINE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HONG KONG
Mtu mmoja jana alisema sasa hivi wasafiri watokao Tanzania wanakaguliwa kwa makini zaidi ya ilivyokuwa hapo awali kutokana na matukio ya kukamatwa na dawa za kulevya! Hii ni sifa mbaya mno kwa raia na...
View ArticleMWANAMKE APEWA KICHAPO KIKALI BAADA YA KUZINI NA MCHUNGAJI WA KANISA JIJINI DAR
MWANAMKE anayejulikana kwa jina la Nabii Juliana wa Kanisa la Miracle Assemblies of God, amepigwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuingilia ndoa ya Mchungaji Richard Kiondo. Tukio hilo...
View ArticleMWANAFUNZI ATUPIWA MAJINNI NA KUJIKUTA AKIWA UCHI GETINI KWA KAKA YAKE
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Pasco (21) ambaye pia ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Samaritan iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara amekutwa getini kwa...
View ArticleUSABATO WADAIWA KUKIANGAMIZA CHUO CHA AURUSHA (UoA)
<!-- adsense --> Haya ni malalamiko ya mdau anayesimulia jinsi USABATO unavyokiangamiza chuo cha Ausha... Katika maelezo yake aliyoyatoa mzalendo forum, mdau huo anaripoti kuwa bila...
View ArticlePROGRAM YA AJIRA KWA VIJANA WALIOHITIMU VYUO VIKUU NCHINI....
PROGRAMU YA AJIRA Programu hii itatekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na vyuo vya elimu ya juu nchini,Taasisi za fedha na wabia wa maendeleo.Kwa kuanzia utekelezaji wake utaanza kwa kuendeleza...
View ArticleVIDEO YA MWANACHUO AKIKATA MAUNO NUSU UCHI....
<!-- adsense --> Katika hali isiyo ya kawaida, mwanafunzi mmoja wa kike wa chuo kikuu maarufu hapa nchini ametoa kali ya mwaka baada ya kuamua kupiga chini kitabu na kuanza kukata mauno huku...
View ArticleMBUNGE NASSARI ASOTA POLISI KWA MADAI YA KUMPIGA KADA WA CCM
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari jana alishikiliwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa saa tatu na nusu kwa tuhuma za kumshambulia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Warsama siku ya...
View ArticleHAUSIBOI ALIYEMLAWITI BINTI WA MIAKA MINNE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA...
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imemhukumu kijana, Baraka Juma (22) mkazi wa kijiji cha Nkungwi wilayani humo, kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya...
View ArticleMBUNGE WA CCM (IDD IZAN) NA WENGINE WAHUSISHWA KATIKA TUHUMA NZITO ZA MADAWA...
Ni jambo la wazi wamba biashara ya madawa ya kuleya ni biashara ambayo mara nyingi hubebwa na watu wenye nazo au wenye madaraka fulani makubwa.Ni biashara ambayo ina faida kubwa na ya haraka pengine...
View ArticleRAIS PAUL KAGAME HATARINI KUSHITAKIWA ICC
ONYO lililotolewa na Ikulu ya Marekani dhidi ya Serikali ya Rwanda, linalomtaka Rais wa nchi hiyo, Paul Kagame, kuacha kuwasaidia waasi wa kikundi cha M23, lina kila dalili zinazomuweka kwenye kundi la...
View Article"SASA NIMEOKOKA.....UJINGA SITAKI TENA"...LULU MICHAEL
MUIGIZAJI machachari wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema baada ya kupata misukosuko ya kimaisha, sasa maisha yake ameyaelekeza katika sala kumuomba Mungu amsamehe makosa yake. Lulu...
View Article"WALIOPENDEKEZA SERIKALI TATU NI WAZEE WANAOSUBIRI KUFA"...NAPE NNAUYE
MZIMU wa serikali tatu bado unaendelea kukitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo jana, Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipinga tena uwepo wa serikali tatu na kudai kuwa waliotoa maoni...
View ArticleNAPE NNAUYE AYAKANA MATUSI YAKE KWA WAZEE
Nape Nnauye ameamua kuvunja ukimya na kutoa utetezi wake kuhusu kauli yake chafu iliyochapishwa na gazeti la Mtanzania likimtuhumu kuwatusi wazee waliopendekeza uwepo wa serikali...
View ArticleAIBU: KAMANDA WA CHADEMA AREKODIWA AKIJIELEZA JINSI ALIVYOKUBALI KUCHEZEWA...
<!-- adsense --> Miezi michache baada ya kuvuja kwa video inayomuonesha mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA),Wilfred Lwakatare akidaiwa...
View Article"NIKIKUTA NINA VIRUSI VYA UKIMWI NI LAZIMA NIJIUE MAANA SIPO TAYARI...
Msanii wa filamu bongo,Baby Madaha amefunguka kwamba siku akianza kuona dalili za ugonjwa wa UKIMWI ndani ya mwili wake atakunywa sumu kwa kuhofia kuchekwa na jamii. Akiongea...
View Article"SIJAWAHI PIGA PICHA ZA UCHI...NIMEMFAHAMU SINTAH KUPITIA SKENDO YA KUGAWA...
Jana, Bongomovies.com imefanya interview kwa njia ya simu na mwanadada msanii Rayuu alaice Bungenzi kuhusiana na mambo mablimbali yanayoandikwa kwenye mitandao na tovuti mbalimbali nchini. Katika...
View ArticleMSHIRIKI WA TANZANIA (NANDO ) ATIMULIWA BIG BROTHER BAADA YA KUGOMBANA NA...
Jana usiku mara tu baada ya Sulu na Annabel kutolewa kwa kura za watazamaji, Big Brother aliwaita washiriki pamoja katika kikao cha dharura kufuatia ugomvi uliotokea kati ya Nando na Elikem....
View ArticleAGNESS MASOGANGE AFUTIWA DHAMANA YAKE NA KURUDISHWA RUMANDE
HUKU akiwa hajui nini hatima ya kesi inayomkabili ya kunaswa na madawa ya kulevya nchini Afrika Kusini, Video Queen Agnes Gerald ‘Masogange’ amepata balaa jipya Kwa mujibu wa chanzo chetu makini...
View ArticleUKOO WATISHIWA KUTEKETEZWA KWA USHIRIKINA HUKO TABORA
Watu watatu wa ukoo mmoja wameuawa kwa kukatwa mapanga kutokana na imani za kishirikina katika Wilaya ya Nzega Tabora, huku ujumbe mkali wa kuuawa kwa watu wengine ukiachwa katika Kijiji cha Nsanga....
View ArticleJACK WOLPER AMJIBU MBAYA WAKE ALIYETANGAZA KUWA YEYE NI KAHABA
Msanii nyota wa filamu bongo, Jacqueline Wolper amewataka wasanii wa bongo movie kuacha tabia ya kupigana majungu ya kinafiki ambayo huchangia kujenga bifu za kijinga.......
View Article