Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Pasco (21) ambaye pia ni
mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Samaritan
iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara amekutwa getini kwa kaka’ke, Edward
Raphael akiwa amefungwa kamba na matunguri.
Tukio hilo lilijiri hivi karibuni huko Yombo-Buza jijini Dar na kuibua
sekeseke la aina yake kutokana na mazagazaga ya kichawi aliyokutwa
↧