MWANAMKE anayejulikana kwa jina la Nabii Juliana wa Kanisa la Miracle
Assemblies of God, amepigwa na wananchi wenye hasira kali baada ya
kudaiwa kuingilia ndoa ya Mchungaji Richard Kiondo.
Tukio hilo la aina yake ambalo lilikusanya umati wa watu, lilitokea hivi
karibuni maeneo ya Ukonga Mazizini, jijini Dar ambapo nabii huyo
alipigwa hadi kuchaniwa nguo.
Akielezea mkasa huo, mtoto wa
↧