ONYO lililotolewa na Ikulu ya Marekani dhidi ya Serikali ya Rwanda,
linalomtaka Rais wa nchi hiyo, Paul Kagame, kuacha kuwasaidia waasi wa
kikundi cha M23, lina kila dalili zinazomuweka kwenye kundi la viongozi
wa Kiafrika ambao hatma yao baada ya kuachia madaraka inazungukwa na
wingu la mashaka.Rais wa Marekani, Barack Obama, ambaye mapema
wiki hii alikaririwa na vyombo vya habari
↧