Jana
usiku mara tu baada ya Sulu na Annabel kutolewa kwa kura za watazamaji,
Big Brother aliwaita washiriki pamoja katika kikao cha dharura kufuatia
ugomvi uliotokea kati ya Nando na Elikem. Itakumbukwa kwamba
siku ya ijumaa ilitokea hali ya kutoelewana kati ya Nando na Elikem.
Wawili hawa walitukanana sana na kutishiana mno. Ugomvi huo ulianzishwa
na Nando. Kwa mujibu wa sheria za Big
↧