Nape Nnauye ameamua kuvunja ukimya na kutoa utetezi wake kuhusu kauli yake chafu iliyochapishwa na gazeti la Mtanzania likimtuhumu kuwatusi wazee waliopendekeza uwepo wa serikali tatu.....
Huu ni utetezi wake:
"Nimestushwa sana na stori ya gazeti la Mtanzania inayodai kuninukuu kuwa
nimesema wazee waliopendekeza serikali tatu wanasubiri kufa!
Kwakweli
↧