MZIMU wa serikali tatu bado unaendelea kukitesa Chama Cha Mapinduzi
(CCM), ambapo jana, Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye,
alipinga tena uwepo wa serikali tatu na kudai kuwa waliotoa maoni hayo
ni wazee wanaosubiri kufa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam katika
kongamano la Umoja wa Vijana (UVCCM) la kujadili mchakato wa Katiba
Mpya, katika ukumbi wa Arnatouglo, Nnauye
↧