Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari jana
alishikiliwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa saa tatu na nusu kwa
tuhuma za kumshambulia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein
Warsama siku ya uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Makuyuni, wilayani
Monduli.
Nassari
aliyefika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha saa 2:30 asubuhi jana ili
kuitikia wito wa kutakiwa kuripoti kituoni hapo,
↧