Msanii wa filamu bongo,Baby Madaha amefunguka kwamba siku akianza kuona dalili za ugonjwa wa UKIMWI ndani ya mwili wake atakunywa sumu kwa kuhofia kuchekwa na jamii.
Akiongea na mwandishi wetu,Madaha amedai kuwa kwa sasa anaamini hana ngoma maana siku zote hutumia Kinga (kondom) ili asiambikizwe gonjwa hilo japo hana uhakika asilimia zote
↧