MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AIONYA CHADEMA
Msajili wa vyama vya Siasa nchini amewaasa wanachama na viongozi wa Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumia muda wao kufanya shughuli za siasa ili kuchangia maendeleo ya nchi badala ya...
View ArticleMWANAMKE ANYONGWA HUKO SHINYANGA BAADA YA MUMEWE KUMTUHUMU KUGAWA PENZI NJE...
Na Kadama Malunde, Shinyanga MWANAMKE mmoja Happiness Luhende mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa Lubaga katika manispaa ya Shinyanga, ameuawa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kunyongwa na mume wake kwa...
View ArticleMABINTI WAJIREKODI WAKIWA UCHI..... VIDEO YAVUJA
<!-- adsense --> Maadili ya kitanzania yamekuwa yakiporomoka kila kukicha hasa kwa watoto wa kike ambao wengi wao wamekuwa wakiendekeza ufaska wa tamaduni za nchi za ng'ambo wa...
View ArticleBINTI ALIYEZALIWA BILA MACHO WALA PUA ATAKIWA KUTOA UBAVU WAKE ILI AFANYIWE...
Msichana Brave Cassidy Hooper (17) kutoka Charlotte, Kaskazini mwa Carolina Marekani aliyezaliwa bila pua wala macho anategemea kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kurekebisha uso wake. Brave anategemewa...
View ArticlePESA MWANAHARAMU:.. LADY GAGA AKUBALI KUPIGWA UCHI ILI KUUPAMBA UKURASA WA...
Lady Gaga ametoa kali ya mwaka baada ya kukubali kufotolewa akiwa mtupu ili kuupamba ukurasa wa mbele wa gazeti la V magazine... Baadhi ya fans wake wamefunguka na kudai...
View ArticleWANAFUNZI WANUSURIKA KUFA BAADA YA BWENI KUTEKETE KWA MOTO HUKO IRINGA
WANAFUNZI 12 wa Shule ya Sekondari ya Mlowa iliyopo Wilaya ya Iringa Vijijini wamenusurika kufa baada ya bweni walilokuwa wamelala kuungua kwa moto na kuteketeza vitu ambayo vilikuwemo ndani. Tukio...
View ArticleHII NDO HALI HALISI YA MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTER ALIYEMWAGIWA TINDIKALI
MFANYABIASHARA maarufu na Mmiliki wa maduka ya Home Shopping Center (HSC), Said Mohamed Saad, ambaye wiki iliyopita alimwagiwa tindikali maeneo ya Msasani City Mall, jijini Dar es Salaam, sasa yuko...
View ArticleALIYETIMULIWA KANIKASI AKIWA NA VAZI LA NUSU UCHI ADAI KUWA KANISA...
Wakati mwanamke wa kivazi kilichositisha ndoa kanisani kwa dakika kadhaa akidai hakuwa na tatizo kuvaa vile, Katekista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Peter, Yohane Maboko, amesisitiza kuwa...
View ArticleMAREKANI YAMPA ONYO RAIS KAGAME WA RWANDA....YAMTAKA KUACHA MARA MOJA...
Marekani imeitaka Rwanda kuacha kusaidia waasi wa kundi la M23 ambalo linaendesha mapambano dhidi ya Serikali ya nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).Taifa hilo kubwa duniani limesema...
View Article"ATAKAYETHUBUTU KUIVAMIA TANZANIA ATAKIONA CHA MTEMA KUNI. TUPO TAYARI KWA...
Rais Jakaya Kikwete ametuma ujumbe kwa wale wanaoitishia Tanzania. Amewaambia wakithubutu watakiona cha mtemakuni kama ilivyokuwa kwa Idd Amin wa Uganda. Alisema mamlaka za ulinzi na usalama...
View ArticleMWANAMKE E ALIYEPANGA KUMUUA MUMEWE AFIKISHWA MAHAKAMANI HUKO ARUSHA
Mwanamke anayedaiwa kupanga njama za kumuua mumewe wa ndoa na mtoto wa mume huyo, amepandishwa mahakamani akiwa na mtuhumiwa mwingine wa mauaji hayo. Janeth Jackson (32), mkazi wa Moshono, Arusha na...
View ArticleMWANAFUNZI AJIUA BAADA YA KUBAKWA HUKO SUMBAWANGA
Mwanafunzi wa kidato cha nne, Flora Athanas (18) wa sekondari Mzindakaya wilayani hapa amejiua kwa sumu ya panya, baada ya kubakwa na mtu asiyefahamika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob...
View ArticleVIDEO YA RAIS KIKWETE AKITOA ONYO KALI KWA WALIO NA NDOTO NA KUIVAMOA TANZANIA
Rais Kikwete<!-- adsense -->
View ArticleDANGURO LA MAKAHABA LAFUMULIWA
Hili ni sakata la kikongwe mmoja anayedaiwa kumiliki idadi kubwa ya madanguro katika uwanja wake na kuwapangisha makahaba katika eneo maarufu kwa jina la Kijiji cha Makahaba. Mwandishi wetu alipokea...
View ArticleHUYU NDO MSANII ALIYETANGAZA KUMPORA MUME WA AUNT EZEKIEL...
KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii anayechipukia katika filamu za Kibongo, Isabella Fransis ‘Vai wa Ukweli’ anamtafuta ubaya gwiji katika tasnia hiyo, Aunt Ezekiel kwa kusema anamtamani mumewe. Vai wa...
View ArticleMUME NA MKE WAUA MTOTO WAO WAKATI WAKIGOMBANA NDANI.....BAADA YA KUUA, MTOTO...
Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wao wakati wanapigana kutokana na wivu wa kimapenzi.Kamanda wa polisi Mkoa Rukwa, Jacob Mwarwanda amesema tukio...
View ArticleAMANDA NA BWANA MISOSI WAMWAGANA...
HATIMAYE wale wapenzi waliong’aa hivi karibuni, mwigizaji Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’ na Mbongo Fleva, Joseph Rushahu ‘Bwana Misosi’ wanadaiwa kumwagana rasmi Habari kutoka chanzo ambacho ni mtu...
View Article"NILIJUA TU KWAMBA WANAFIKI WATAFURAHIA MATESO YANGU" ....AGNESS MASONGANGE
VIDEO Queen ambaye hivi karibuni alidaiwa kukamatwa na madawa yanayosadikiwa ni ya kulevya ‘unga’ nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa alijua watu wengi watafurahia...
View ArticleKALA JEREMIAH NAYE ATANGAZA NIA YAKE YA KUMPIGIA KAMPENI LOWASSA....ANADAI...
Msanii wa Hip Hop na mshindi wa tuzo 3 za KTMA 2013, Kala Jeremiah amefunguka kwa kuandika waraka mrefu kuelezea jinsi anavyomkubali waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa kwamba anafaa kuiongoza nchini....
View ArticleRAY C ATANGAZA KURUDI UPYA KWENYE GAME LA MUZIKI.....
Mabibi na mabwana mko tayari kwa ujio mwingine wa Ray- C. Malkia wa kiuno bila mfupa Rehema Chalamila aka Ray-C ametangaza ujio wake rasmi baada ya kuwa chimbo kwa kipindi kirefu toka apate matatizo...
View Article