Mabibi na mabwana mko tayari kwa ujio mwingine wa Ray- C. Malkia wa
kiuno bila mfupa Rehema Chalamila aka Ray-C ametangaza ujio wake rasmi
baada ya kuwa chimbo kwa kipindi kirefu toka apate matatizo miezi kadhaa
iliyopita.Ni baada ya siku chache kupita toka Ray-C atamke kuwa
anapenda sauti ya ‘dogo lake’ Recho na kuwa atakuja kufanya naye kazi,
leo amethibitisha kuwa mwezi Agosti ndio
↧