Msanii wa Hip Hop na mshindi wa tuzo 3 za KTMA 2013, Kala Jeremiah
amefunguka kwa kuandika waraka mrefu kuelezea jinsi anavyomkubali waziri
mkuu wa zamani Edward Lowassa kwamba anafaa kuiongoza nchini.
Usome waraka wake huo wote;
Mimi Kala Jeremiah nilikuwa msanii wa kwanza Tanzania kumsema
mheshimiwa Edward Lowassa kupitia wimbo wangu uitwao wimbo wa taifa
baada ya mheshimiwa
↧