Msichana Brave Cassidy Hooper (17) kutoka Charlotte, Kaskazini mwa
Carolina Marekani aliyezaliwa bila pua wala macho anategemea kufanyiwa
upasuaji mkubwa wa kurekebisha uso wake.
Brave anategemewa kufanyiwa upasuaji huo (July 31) mwaka huu ambapo
inategemewa sehemu ya mfupa utaondolewa katika ubavu wake kwaajili ya
kutumika kutengeneza paji la uso wake, mfupa huo utasaidia kama
↧