Lady Gaga ametoa kali ya mwaka baada ya kukubali kufotolewa akiwa mtupu ili kuupamba ukurasa wa mbele wa gazeti la V magazine...
Baadhi ya fans wake wamefunguka na kudai kuwa uroho wa pesa utamponza huku wengine wakidai kuwa msanii huyo atakuwa amekubali kuanikwa hivyo ili kuvuta "attention" ya mashabiki wake kwa ujio wa albam yake mpya
↧