WANAFUNZI 12 wa Shule
ya Sekondari ya Mlowa iliyopo Wilaya ya Iringa Vijijini wamenusurika kufa baada
ya bweni walilokuwa wamelala kuungua kwa moto na kuteketeza vitu ambayo
vilikuwemo ndani.
Tukio hilo linadaiwa lilitokea
baada ya hitilafu ya umeme wa nishati ya jua (Sola) iliyosababishwa na
wanafunzi ambao walikuwa wamelala katika bweni hilo kuunganisha nyaya kienyeji kwa ajili ya
↧