MFANYABIASHARA maarufu na Mmiliki wa
maduka ya Home Shopping Center (HSC), Said Mohamed Saad, ambaye wiki
iliyopita alimwagiwa tindikali maeneo ya Msasani City Mall, jijini Dar
es Salaam, sasa yuko Afrika Kusini kwa matibabu zaidi.
Wiki iliyopita majira ya saa moja jioni, mfanyabiashara huyo alimwagiwa
tindikali na mtu mmoja ambaye hakufahamika na mara baada ya kutenda
tukio hilo,
↧