Wakati mwanamke wa kivazi kilichositisha ndoa kanisani kwa dakika kadhaa
akidai hakuwa na tatizo kuvaa vile, Katekista wa Kanisa Katoliki
Parokia ya Mtakatifu Peter, Yohane Maboko, amesisitiza kuwa alikiuka
maadili ya Kanisa.
Mwanamke huyo ambaye ameendelea kukataa kutaja jina lake, huku njia
zingine zikimtaja kwa jina la Restituta Kalemera, alidai juzi kuwa
kivazi hicho cha mabega wazi
↧