Marekani imeitaka Rwanda kuacha kusaidia waasi wa kundi la M23 ambalo
linaendesha mapambano dhidi ya Serikali ya nchi jirani ya Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo (DRC).Taifa hilo kubwa duniani limesema
lina ushahidi wa kutosha kuonesha kuwa Rwanda inalisaidia kijeshi kundi
hilo la waasi na baadhi ya maofisa wake wamo. Hii ni mara ya
kwanza kwa Marekani kutoa kauli kali tangu kundi hilo
↧