Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kusababisha
kifo cha mtoto wao wakati wanapigana kutokana na wivu wa kimapenzi.Kamanda
wa polisi Mkoa Rukwa, Jacob Mwarwanda amesema tukio hilo lilitokea
usiku wa kuamkia Julai 22, saa 5:30 za usiku baada ya Livinus Choma(31)
na mkewe Grace Choma(28) ambao wote wakazi wa Malangali kugombana
usiku.Amesema baada ya mume na mke
↧
MUME NA MKE WAUA MTOTO WAO WAKATI WAKIGOMBANA NDANI.....BAADA YA KUUA, MTOTO ATUPWA KWA JIRANI YAO
↧